Hiki hapa Kikosi cha Simba dhidi ya Prisons

Vinara wa ligi kuu ya Vodacom Simba leo wanashuka kwenye uwanja wa Taifa kuwakabili maafande wa Prisons kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 24.

Mchezo huo unatarajiwa kuanza saa kumi kamili jioni.

Hiki hapa kikosi cha Simba kinachoanza;